Recent content by wpmashii

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tulioamua kuishi single baada ya kuacha wake zetu tukutane hapa

    kama una pepo binadamu usameheana ata we una madhaifu utamwacha uyo alafu utapata kituko show bora umwombe Mungu maana siamin kama utavumilia kuwa mwenyewe au umepata mchepuko maana nikama unalishabikia angalia mbele
  2. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    kipi bora kukuonye nilivyo sasa au kuwa mnafiki tukiingia ndani nabadilika
  3. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    ngoja nikatengeneze magari kila jema jaman.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    kila mmoja akijua wajibu wake hakuna anaye mkumbusha mwenzake lakini uki taka hela yangu uitegemee we una jua mi uko kwenye magari natoka sangapi? ukitaka nukunyenyekee jua majukumu yako kama mume
  5. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    kilichochacha katamu
  6. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    kuweka mezani sio shida ntaweka ila ajue kutakuwa na haki sawa akitaka nimnyenyekee awe tayari kunitunza kama mke
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    ntakuombea tu sina cha kufanya ila ukimya utakuwa mwingi sana
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    kulalamika kuna watu awalidhika kila jambo analalamika, miezi sita inamaana ikifika miezi sita ya uchumba anaanza process za ndoa. kazi zote ntafanya na kwetu tumezoea kuamka mapema sana kuandaa chai ila maana ya kuwa mfanyakazi hakuna upendo kati ya mke na mume bali wanaishi tu kutimiza wajibu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    migomba uku kwetu akuna labda uniletee
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    chuo veta kutengeneza magari
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    chuo cha kutengeza magari
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    ahsante
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanaume na kuishi naye kama mume

    naitaji mwanaume wa kuishi uchumba mpaka ndoa ndani ya miezi sita. awe mrefu 6 awe mkristo awe na kazi alali inayoweza tunza familia. kabila lolote asiwe dikteta ajue aneyeenda ishi naye ni mke na si mtumishi wake. asiwe mlalamishi pia naitaji nitakaye jenga upendo wetu sio wa majaribio. mi...
Back
Top Bottom