Recent content by wowgirl

  1. wowgirl

    Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

    mr nice guy pole sana ,em njoo PM nikwambie kitu
  2. wowgirl

    Maisha ndo haya haya, tuache majivuno

    mfano ungepewa taarifa kuwa amenunua mabasi au anajenga ghorofa sometimes tuchukulie poa ,unadhani kwa kipind ulichokuw nae hakuwah kuwa moja ya furaha yako??? halafu sisi wanawake ndo tunaishiwa,mwanaume hajawah kuishiwa anakwama tu,mwanaume ni kichwa cha dunia labda aamue kuwa mjinga mjinga
  3. wowgirl

    Baada ya kufanya naye ngono namuona mbaya na si 'type' yangu

    sijawahi kuamin hiyo kitu mnayoita karma, kwanza naamini dunia haina huruma na mtu yyt,labda kama hujapitia misoto ya maisha mfano huyo binti pia unaweza kuta kuna jamaa alikuw anampenda sana akataka kuweka nia binti akamfungia kioo akawa na mwngne ambapo mtoa mada na yy ameingia kuweka tuta...
  4. wowgirl

    Muhudumu wa Restaurant hanichangamkii tena siku hizi!

    wewe ni mxng mxng tuuu nshakwambia
  5. wowgirl

    Muhudumu wa Restaurant hanichangamkii tena siku hizi!

    tuanze na akili yako, neno mieI ndo nn??? mwanaume unakurupukaje halafu ishu ya situation ilitakiwa ajibu mhusika au na ww ulikuwepo. la pili utaratibu wa kupangiana kujibu nyuzi umeutoa wapi? la mwisho mwanaume mwenzako wakati anatengeneza hili jukwaa alikwambia uwe unafatilia wanaojaza...
  6. wowgirl

    Vita ya kuchuniana kwenye mahusiano

    Hey guys hope mko poaaa Huyu mwanaume ambaye nipo nae kwenye mahusiano amenufukuzia almost miezi 3 muda huo namchunguza tabia zake. Kidogo kidogo nikaanza kumzoea na hatimae nikampenda(ile kiukwel ukweli) duuu sijui nini kimetokea tumepishana kauli kidogo tu naona mwenzangu kabadilika. Sioni...
  7. wowgirl

    Muhudumu wa Restaurant hanichangamkii tena siku hizi!

    watu wa jf mnajiona perfect sana kwa kila kitu ety, jaman hili ni jukwaa ,mtu kama hana cha kujibu si asome kmya kmya apite kushoto mtu anayekereka ilibidi awatafute maadmin wenyew walioruhusu hizi post kuonekana. turudi kwenye topic ,mtoa mada nakushauri usimuulize wala kuonyesha sura ya...
  8. wowgirl

    Muhudumu wa Restaurant hanichangamkii tena siku hizi!

    na ukizingatia hata sio mmiliki wa jf,kanajichetua tu wakasifie
  9. wowgirl

    Kwa vijana wa kiume mnaotarajia kuoa

    hao 39 atawaoa nani
  10. wowgirl

    Alikuwa wapi siku zote?

    mamiii,inaonyesha dhahir bado unampenda kaka wa watu ungekuw na aman ya kutosha hapo ulipo hata usingehangaika kupandisha uzi yaan amekuacha siku si nyng tyr umeolewa ??????????, still unampenda .
  11. wowgirl

    Hodii

    sawa asantee
  12. wowgirl

    Hodii

    saw
  13. wowgirl

    Nipo kwenye wakati mgumu na mama mwenye nyumba

    mmiliki akisema ntabadilisha
  14. wowgirl

    Hodii

    mmmh
Back
Top Bottom