Habari wana jamii,
Hivi ni hatua gani zinatakiwa kuchukuliwa kwa kampuni ambazo hazifikishi michango ya mfanyakazi kwa nssf ikiwa bado mfanyakazi yupo kazini?
Pia soma KERO - NSSF iingilie kuhakikisha Malipo kwa wafanyakazi sekta Binafsi yanafanywa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.