Recent content by workshop

  1. W

    JamiiForums Tanzania Matawi Ya CRDB Kufungwa Kwa Siku Tatu Nchi Nzima

    Sawa boresheni huduma mahana wakati mwingine unawekewa ela message haiji na unatoa ela message haiji lakini pia ijumaa ni sikukuu na jumamosi ni nusu siku na jumapili sio siku ya kazi jumatatu mambo yawe safi
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kuna App ya Bank yenye Usumbufu kama ya CRDB kwa sasa?

    Umefanya utafiti mkuu mi niliona CRDB ni nzuri kuliko NMB
  3. W

    JamiiForums Tanzania Enyi wakristo mnakuaje dini moja lakini Biblia yenu ina idadi tofauti ya vitabu? Uislamu dini ni moja na kitabu kimoja tu Quran tukufu

    Pokea elimu uislam unaongozwa na Quran pamoja na adith za mtume Muhammad s a w kwenye adith madhehebu ya kiislam yanatofautiana usahii wa adith kwaiyo kama nayo Quran ingechanganywa pamoja na adith kama ilvyobiblia basi nao uislam ungekuwa na utofauti wa idadi ya sura za Quran fikiria kwa uhuru...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Huo ndiyo ushahidi wa aya unaothibitisha bila shaka yoyote kuwa Yakobo aliye Israel alikuwa muislamu, enyi ndugu zangu Wakiristo zindukeni

    Uislam unaongozwa na Quran na Quran kashushiwa nabii Muhammad karne ya sita bahada ya Yesu sasa utuambie uislam wa Yakobo ulikuwa unaongozwa na kitabu gani vinginevyo ni uzushi tu umejisikia kuzusha
Back
Top Bottom