Recent content by wokitoki

  1. W

    Badili mtazamo wako kuhusu BMW

    Vipi kuhusu BMW X 1 mkuu
  2. W

    BMW ya Petrol Vs ya Diesel ipi ni nzuri zaidi, naomba ushauri

    Habari wadau naomba kujua BMW X 3 PETROL NA BMW X 3 DIESEL ipi ni nzuri na nini kibaya kati yao IPI NI NZURI NA NINI KIBAYA KATI YAO. Naomba msaada plsss
  3. W

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Nenda pharmacy yoyote nunua BUMP patro tatizo hilo litakuwa historia.
  4. W

    Natafuta fundi wa kubadilisha/kuweka headliner ( inside roof) kwenye gari

    Naomba maelekezo mkuu jinsi ya kufika alipo kama ana namba ya simu nipatie plz.
  5. W

    Natafuta fundi wa kubadilisha/kuweka headliner ( inside roof) kwenye gari

    Naomba maelekezo vizuri jinsi ya kumpata, kama ana namba ya simu naomba nipatie mkuu.
  6. W

    Natafuta fundi wa kubadilisha/kuweka headliner ( inside roof) kwenye gari

    Habari wadau, Nahitaji kubadili/ kuweka headliner ( inside roof) kwenye gari yangu Naomba kwa yoyote anaemfahamu fundi wa shuhuli hizi anisaidie plz. Thanks in advance.
  7. W

    Fundi mzuri wa ac (air condition)

    Wadau naombeni msaada wenu nipatien fundi wa ac plz ki cami changu kinatoa mlio kriiiiiiiiii nikiwasha ac
  8. W

    Fundi mzuri wa ac (air condition)

    Nipo mbezi mkuu msaada plz
Back
Top Bottom