Recent content by Wizzdude

  1. Wizzdude

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ifike mahala tumalize tofauti zetu na kanji, maana saiv anakabia kwa juu sana
  2. Wizzdude

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Userious umepotea kabisa kwenye huu uzi!
  3. Wizzdude

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Endelea kuwapiga kichwani. Bado wanapumua.
  4. Wizzdude

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wapige kichwani baba, bado wanapumua.
  5. Wizzdude

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ungeandika kistaarabu tu na kuwatag, wangesoma na ungeeleweka. Kwa style hii watakupiga ban wewe sasa.
  6. Wizzdude

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii kweli high staked 😂😂
  7. Wizzdude

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mida ya kupumzika hii.Kesho nayo siku
  8. Wizzdude

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hahaaaa sisi tumekuja kumuwinda kanji ila kuna watu wamekuja huku kutuwinda sisi.
  9. Wizzdude

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kuna watu wapo vzur bhana daaah
Back
Top Bottom