Barua iliyosambazwa kuhusu kufungua Shule si sahihi ipuuzwe. Tunaomba Wadau wazingatie Kalenda ya Mihula ya Masomo kulingana na Waraka wa Elimu Namba 06 wa Mwaka 2025 ambao umeambatishwa.
Asanteni kwa maoni. Mwongozo huo unapatikana katika tovuti ya Wizara www.moe.go.tz . Aidha tuna ambatisha mwongozo huo pamoja na maelezo kuhusu maoni yaliyotolewa. Tunawakaribisha kwa maoni na maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kupitia baruapepe, elimumawasiliano@moe.go.tz au info@moe.go.tz
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.