Recent content by WIZ MAN

  1. W

    Natafuta soko la Oil Chafu (Crude Oil) Jijini Dar

    Write your reply...oil imekutwa haina coronavirus...ila mapapai,mafenesi na mbuzi wapatikana wapo positive duh! coronavirus ni shida asee
  2. W

    Natafuta soko la Oil Chafu (Crude Oil) Jijini Dar

    Behaviourist...ndio ni oil iliyokushafanyiwa matumizi
  3. W

    Natafuta soko la Oil Chafu (Crude Oil) Jijini Dar

    sexer... corona can' t survive within it..
  4. W

    Natafuta soko la Oil Chafu (Crude Oil) Jijini Dar

    natafuta pakuuzia ndugu
  5. W

    Natafuta soko la Oil Chafu (Crude Oil) Jijini Dar

    Asalaam alaykum nyote i hope mu wazima kwa ambaye afya imeyumba like me M/Mungu atuhafu amiin.. Wakuu naombeni mwenye kujua soko/viwanda/mahali wanapo nunua Oil Chafu (Crude Oil) na bei yake kwa hapa Jijini Dar. Natumai wajuvi wapo humu. Ahsanteni
  6. W

    Kwanini wakati wa mfungo wa Ramadhani biashara nyingi hudorora?

    Maswali mengine bana mpaka kujibu unaona uvivu
  7. W

    Nahitaji dagaa wa kununua

    Amani iwe nanyi nyoote. Wakuu naomba kufahamishwa bei na pahara wanapopatkana dagaa wakavu either wa Mwanza, Bukoba n.k kwa hapa jiji la Dar. Nahitaji wanaouzwa kwa kipimo cha debe (ndoo ya lita 20) na sio kwa kg. Thanks for advance.
Back
Top Bottom