Recent content by witness kagirigiri

  1. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

    Kwa Sasa yawezekana usijue faida za magufuli lkn baadae akitoka madarakani ndo utajua baadae na utakuwa umechelewa.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere anaishi katika sura ya Magufuli

    Wakati mwingine Dunia huwa inajirudia. Zama za nyerere naziona kwa magufuli. Ununuzi wa ndege, umeme wa stiglers Gorge, stard gage yote ni mwendelezo wa baba wa taifa. Binafsi naona miaka 10 haitoshi. Kumbuka maendeleo hayana chama.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Mbaazi Zikikosa Maua husingizia jua.
  4. W

  5. W

    Utapata tabu sana.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Ukonga nako waitara hakamatiki.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi mdogo majimbo ya Ukonga na Monduli: CCM yashinda majimbo yote!

    Nyumbani kwa lowasa chadema wanapata kula 4 ccm 652.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Kuchukua mke wa rafiki yako inaruhusiwa kwenye dini yako.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Akitega mabomu mniambie nije kuyategua maana Nina nyumba chini ya ziwa Tangayika.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Akubali na wala siyo kutishia watu eti amawapa siku moja kwani yy mungu.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Siamini ktk uchawi ndio maana musiba alimwambia zitto kama yy ni mjuzi aloge ili awe Rais wa Tanzania.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ampa masaa 24 tu Cyprian Musiba kukanusha uzushi kuwa 'amemuoa mke wa Filikunjombe' vinginevyo asilaumiwe

    Yule mama Sasa hivi yuko lokapu kukwepa camera za shilawadu. Zitto ameshikwa pabaya.
Back
Top Bottom