Recent content by Wisethinker

  1. W

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    Wapinzani wasipende kunyambulisha maneno. Rais alitoa changamoto za serikali zote tena kwa mifano. Hakusema yeye wala chama chake wanataka serikali ipi. Ndo maana alihitimisha kwa kusema kazi wanayo wajumbe. Basi. Sasa wapinzani wanapoongea hayo ndo tuseme hawakuelewa au walikuwa makini...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wapinzani waipinga hotuba ya kikwete

    Hayo ndiyo madhara ya kusikiliza kitu ili ubishane badala ya kuelewa ili utoe hoja. Kama kweli wapinzani wametoa kauli hizo wamedhihirisha kuwa ni mbumbumbu na watasubiri sana kupewa nchi. Rais alitoa faida na hasara za serikali 2 au 3 na mwisho akasema maamuzi wanayo wajumbe. Kwa hiyo ni kama...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kocha kibaden/ mashabiki wa simba nani kawadanganya magoli ayafungwi dk za nyongeza??

    Kwa vyovyote vile Simba walitaka kushinda ili wawe sehemu nzuri ktk msimamo wa ligi. Walikuwa na njaa ya ushindi. Ktk njaa ya ushindi yawezekana kuwa mtu busara ikamtoka akaishia kuongea kauli ambazo kimichezo hazipo. Je ingekuwa penati wamepata Simba muda ule, Kibaden angelalamika kuwa ni...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Sugu ang'aka Uwanja wa Ndege wa Songwe kuitwa Jakaya Kikwete

    Jk kafanya lipi jipya hapa bongo la kustahili kupewa hadhi hiyo? He is a failure and no where closer to that! Sent from my BlackBerry 9000 using JamiiForums
  5. W

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Rambi rambi hazisaidii kwa hii jamii ya Tanzania

    Safi sana hapo mkuu umenena. Uhai wa mtu haulingani na rambirambi yoyote hasa linapotokea suala la watu kufa kwa uzembe wa mtu mwingine! Inauma sana na kibaya zaidi serikali hii haina wachapa kazi bali watu longolongo! Wakati mwingine huwa nasema tutajibu nini kwa Mungu siku akituuliza mbona...
Back
Top Bottom