Mkuu umeeleza vizur sipingani na wewe ni kweli kabisa nowadays taasisi hii ya ndoa imeonekana inapoteza Mvuto. Lkn according to your message nimefahamu watu wengi hawajui maana ya ndoa na kwann wanaoa/wanaolewa.
Hili ni suala la kiroho kiasili na nitabase hapo hapo (rohoni) ndoa ni taasisi...
Fanya uchunguz wa kutosha kuhusu hilo suala mpaka upate ukweli wote na ujiridhishe.. Then, Kaa Chini na Mkeo, Muongee kiutuuzima akueleze kila kitu kwann kafanya yote aliyofanya?.. Kwa uchunguzi uliofanya na Majibu yake utajua kama amekueleza ukweli au kakudanganya. Then Muombe Mungu akuongoze...
Duh kama umeweza kumtoa Moyoni kabisa..Duh! Hapo hapana Mapenzi kabisa. Mwambie huyo Dada ukweli.. Utamuweka huru hatakama ni mchngu vipi ataumia kwa kitambo kdgo tu but baadae atazoea na atapona. "Hurt Me with a Truth but never Comfort Me with a Lie"
Jipe Muda (space) kwanza utulie huku unafanya mambo yako kaanae mbali kwa Muda.. Then Fikiria kwa Makini toka Mlipoanza mpka mlipofika bila kumtetea Moyo wako unajua ukweli zaid ya huu ulioandika hapa pia ndio unajua kakuumiza kiasi gani.. Kisha Acha uoga Fanya maamuz sahihi. Tambua hili ukiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.