Unaweza kuacha upadre kama huduma (ministry) Lakini upadre kama alama ya sacrament ni alama isoyofutika. Kwahiyo anapotumia neno Padre hajakosea kwani hiyo nia alama yake na kudumu. Kwa wale wale wasiolewa mambo ya kanisa na taratibu zake bora Kitafuta kujua kuliko kujenga hoja tepetevu
Waseminari ni waadilifu hulka ambayo watu wengi hapa Tanzania ni msamiati uliokufa. Ni wanyenyekevu hulka inayowafanya waweze kusikiliza wengine. Ni wachapa kazi hodari na viongozi mathubuti wasiotetereka kwenye maamuzi yao
Waseminari ni waungwana kwasababu wamesoma falsafa na sakilogia ni wepesi kutambua mahitaji ya mwanamke. Lakini maisha ya seminary yanawafunisha kuwa wavumilivu kwahiyo wanaweza kuvumilia mapungufu ya wenzi wao. Pia wana hofu ya Mungu ambayo inawafanya wawe na hulka ya kuwathamini binadamu wenzao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.