Awali ya yote nashukuru kwa Muda wako kusoma hii thread Yangu
Nimeanzisha uzi huu kwa malengo mawili moja ikiwa ni kutafuta ajira yoyote ilio halali na pili ushauri maana unaweza kunitoa hapa nilipo sasa na kusonga mbele
mimi ni kijana umri miaka 29 nmesomea kilimo(ngazi ya Diploma) makazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.