Recent content by Wise Mbuya

  1. W

    JamiiForums Tanzania Shule ya msingi Kisemvule imeelemewa na wanafunzi

    Wapendwa habari, Naomba nijitokeze hapa na kero ya shule ya msingi kisemvule pwani. Wadau wa elimu, shule hii imesahaulika kabisa? Shule hii haina madawati, madarasa machache. Shule hii ina wingi wa wanafunzi mpaka walimu wanafundisha wawili darasa mmoja. Ukifika ndani ya shule hii utastaajabu...
Back
Top Bottom