Recent content by wipem5

  1. wipem5

    Mrejesho: Forex ya Ontario

    Kawaida yetu wabongo tunapenda kushadadia Mambo mabaya mabaya tu. Sasa kwakua umefikia hatua ya kuandika uzi huu na kuuliza ama kuomba kupata mrejesho basi ujue Kuna heri huku TMT chini ya Sir Jeff and powerful mentorship crew. Ukimya wetu unaonyesha commitment kubwa tulionayo sisi wanufaika...
  2. wipem5

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Wala usidhani bonge la mmmmtuu... Au dingi flani ivi. Mshakaji tu kiana. Check ile picha alipost ONTARIO wakiwa watatu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. wipem5

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    298 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. wipem5

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Nina ombi kwako mkuu ONTARIO. Kwa wale ndugu zetu wawili waliopata ajali kule Tanga, naomba RESERVE nafasi mbili za free kwao ili wakipona siku yoyote waje kupata shule. Namaanisha Kati ya 300 sisi wengine tuchangamkie 280 Ni namna ya kujenga upendo kwa rafiki zetu hawa. Nionavyo Mimi. Sent...
  5. wipem5

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Kwahio sasa nawewe ndio umefikiriaaa ukafika mwisho wa uelewa wako ndipo sasa ukaone useme hizi pumba. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. wipem5

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Sa si uongee na Ontario akugawie. Maana unalalama lalama tuuuuu. Mie hio buku 65 naona ela ya chumvi tu, hata Kama angekuwa na watu buku, ningetoa bila maswali. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. wipem5

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    We jamaa. Uko vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. wipem5

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Same to me Sent using Jamii Forums mobile app
  9. wipem5

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Papaa Maboko likoloee ( mikono iko juu) Mungu azidi kujujalia mafanikio mengine mengi mengi zaidi. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. wipem5

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Kama unadhani Ontario anafaida Saaaana si nawewe anzisha class lako upige pesa. Angesema dola mia si ndio ungezimia kabisa. Uwe na moyo wa kukubali juhudi za watu. Staki discussion. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. wipem5

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Kwa kila Jambo Kuna majira yake. Na wakati kwa kila kusudi chini ya nchi. Naamini hatujachelewa na hatutachelewa. Kuna kitu kinafanyika ndani ya mioyo yetu iliyojaa subira. Tuendelee kujisomea. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. wipem5

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Ndugu zangu mwenzenu kila saa mimacho kodo kodo JF. Nasubiri updates, so far I know launching is tomorrow na Jangid plaza najua ipo A H Mwinyi Rd. Sema sijui ofisi yetu ipo flow ipi? Muda wa uzinduzi?
  13. wipem5

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Baada ya kupata tangazo hili la 2nd Sept. Nimevuta pumzi kwa taratibu nikaingia ndani ya nafsi yangu kwa vutulivu. Nikatafakari namna ya kutengeneza furaha katika forex. Nikaona haitakuwa rahisi. Maana class hili si lelemama, ni lazma tukubali kulipa gharama. Gharama za kujitoa kwetu ambazo ni...
  14. wipem5

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Unaonekana kuwa ni mtu wa kujikataa. Yaani unapenda kujisingizia mabaya tu. Mbaya zaidi una generalize..sisi wa mikoani. Assume Ontario angekuwa anaishi Kiteto. Achana na meneno haya: yaani sisi...ona sisi...haya sio yetu....sisi wa hivihivi tu. Kama mpambanaji tafuta njia yyte ili uipate hii...
  15. wipem5

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Samahani unaweza kutuongoza step by step. Like Open...go to... Namimi nna tatizo hilo pia na napenda kujua. Thanks
Back
Top Bottom