Recent content by Winton

  1. W

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Mnaosimamishaga pisi njiani na kuomba namba na mkapewa nisaidieni mwenzenu. Nimezoea wa restaurant na bar ambao nawakutaga wamekaa hapo kidogo inakuwaga rahisi mno. Lakini hisi za barabarani eti ukute inatembea uombe namba inakuaga ngumu aisee.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Halotel wanatuibia kwenye bundle la intaneti

    Unanuniaje mkuu coz mwenyewe natumia Vodacom
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kupasua Chungu na kufunga kwaajili ya kesi ya Ugaidi ya Mbowe kuna madhara kwa wasiotenda haki na vizazi vyao?

    Tuletee proof na sio story za vijiweni magufuli alijiekea kinga coz kuna watu aliowatumbua walitaka kummaliza. Na wamefanikiwa na baada ya hapo wakataka waue image yake
  4. W

    JamiiForums Tanzania Yesu Kuitwa Tapeli na Mwizi: Wasafi Media Waomba Msamaha

    Kasema yesu sio issa bin Maryam huyo kwenye ukristo hatumtambui kabisaa
  5. W

    JamiiForums Tanzania Yesu Kuitwa Tapeli na Mwizi: Wasafi Media Waomba Msamaha

    Hayo ni maneno yako mzee.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

    Fala kweli tunacholalamika ni kwanini wasafi warushe live maudhui yale na wanajua ni kosa.
Back
Top Bottom