Recent content by Winnie Winnie

  1. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Tajiri hataji mali zake wewe huna lolote
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kuweka kitanda katikati ya chumba au ukutani ni kipi bora?

    Sijui kuna shida gani ngoja ajibu ila nadhani ni kuzingirwa na wanga usiku au kuingiliwa na majini
  3. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Wengine wameelewa huo mfano wewe tu ndo akili huna hujaelewa
  4. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Ana wivu tu huyo matajiri walimnyima kibalua ana hasira
  5. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Mtu akiwa na njaa anachukia sana matajiri tafuta pesa na wewe utakula tu
  6. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Sasa si maisha yake wewe yanakuhusu nini usikute na tajiri yako sio mtakatishaji unasingizia tu kwakuwa amekuzidi mbali tafuta pesa uwe na akili
  7. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Mtoa mada ana njaa ana hasira na matajiri
  8. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Itakuwa na wewe ni mwenzake hujala mnajifariji tu pambaneni kwa bidii sana muache wivu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Sasa kwani ni matajiri wote na wewe hujawahi kuiba
  10. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Maskini wana wivu sana mtu akitoboa ni freemason au mtakatishaji! Si aseme kama hana pesa ya kula tumpe
  11. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Ana wivu tu huyo matajiri walimnyima kibalua anajifariji sasa
  12. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Ana wivu tu huyo matajiri walimnyima kibalua
  13. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Matajiri walikunyima kibarua leo umeamua kuwaponda eti watakatishaji njoo tukupe kazi ya kuzoa taka na kulisha paka wivu utakuishia
  14. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Tafuta pesa wivu utaisha bila pesa utakuwa mchawi
  15. W

    JamiiForums Tanzania Utakatishaji Fedha, Biashara inayoendelea kwa Siri kubwa

    Wewe naye ni mwenzake akili huna hapo nimesemea mfano
Back
Top Bottom