Recent content by Winner 92

  1. W

    Maswali gani naweza kuyapata kwenye assignment ya TDR scholarship, MSc in Epidemiology?

    Habari zenu wanajukwaa, Poleni kwa majukumu mbalimbali. Nimefanikiwa kuwa shortlisted kwenye round ya mwisho ya scholarship lakini wamesema nitafanya language assignment na quantitative assignment. Je, probably ni maswali gani wanaweza kuuliza? Wale waliowah kufanya naombeni mnisaidie ndugu zangu.
  2. W

    Natafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya. Nina Shahada ya Biotechnology and Laboratory Science

    Habari zenu ndugu, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kulijenga Taifa. Ndugu zangu ninatafuta nafasi ya kazi katika kada ya afya na taasisi zinazohusu utafiti. Nina bachelor degree ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika kufanya kazi maabara especially kwenye...
  3. W

    Uhamisho Taasisi za serikali

    Habari zenu wanajukwaa, Kama kichwa cha habari kinavyosema, natafuta nafasi ya kuhamia kwenye taasisi Kama Tari, Tpri, Nimri au Taasisi yoyote inayohusiana na Research au Afya.
  4. W

    Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Kama kuna connection tusaidiane nduguzangu
  5. W

    Natafuta nafasi ya kazi maabara, au Taasisi za afya, mifugo na tafiti

    Habari wapendwa, poleni kwa majukumu mbalimbali ya kujenga Taifa. Mwenzenu ninatafuta nafasi ya kazi katika taasisi mbalimbali kama za afya, mifugo, kilimo au tafiti. Nina shahada ya Biotechnology and laboratory science. Ninauzoefu wa miaka minne katika molecular biology and microbiology...
Back
Top Bottom