Recent content by Wiltibenda

  1. Wiltibenda

    Kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?

    Okeee ahsanteni sana jamani nmejifunza meng. Nmewaza sanaa na nmekuja kugundua kua kila mtu aliyeumbwa dunian amewekewa kitu au talanta ambayo ni msaada mkubwa ktk maisha yake, the same to me and all of us tunatakiwa tutafute kutambua hicho kitu tulichopewa na Mungu ili kiwe msaada kwetu
  2. Wiltibenda

    Kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?

    Ni kozi ipi ya uinjinia ina soko zaidi Tanzania?
  3. Wiltibenda

    Mikopo ya elimu ngazi ya Diploma inawezekana?

    Je ni kweli inawezekana kupata mkopo kwa anayeenda kusoma stashahada?
Back
Top Bottom