Mkuu wa Mkoa na washauri wake wote hawana akili timamu, nasema hivyo kwa sababu Mkuu wa mkoa ndo aliye leta matatizo chuoni. Mimi niko Arusha na naelewa vizuri kilichotekea juzi chuoni hapo! Mkuu wa mkoa badala ya kwenda kusikiliza kilio cha wanafunzi na kutoa ufumbuzi, suala ambalo Mbunge Lema...
Kwa mara ya kwanza nafurahii sana kuwa mmoja wa wanafamilia ya Jamii Forum. Nutamini kushirikiana na nyie katika kujadili mada mbalimbali. Asanteni sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.