Recent content by Willy II

  1. W

    Hongera January Makamba, Poleni Vijana wa Vyuo Vukuu!

    Wakatolee tamko lao mbele ya wanafunzi wenzao vyuoni kama kweli wanawasemea hao.
  2. W

    Ukimya wa ziara ya BUSH ndani ya mwamvuli wa mkutano wa wake wa marais, kunani?!!!!!

    Kwani Hamkuambiwa anakuja kwa Masuala GANI? UA JUST wabongo tunapenda kujua kila kitu hadi visivyotuhusu?? Yapi yasiyotuhusu kuhusu Tz? ni upumbavu kufikiri kuwa Obama au Bush wanatulete misaada, tunapaswa kuelewa kuwa watu hawa wanatafuta masilahi ya ama nchi yao au wao binafsi, kinachoitwa...
  3. W

    Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

    Mtambo huo uwe na mikono, usiwe nayo, bado sio jambo la msingi, NANI ALIYEFUATA BOMU CHINA NA KUFANIKISHA ULIPUAJI????? Ndio swali lilopaswa kuulizwa na kujibiwa.
  4. W

    Mwigulu Nchemba umepiga msumali wa moto,CHADEMA wanajitetea na DRV na CCTV

    Ninahisi hujui cctv inavyofanya kazi, ni mara chache sana cctv system kutumia camera moja. Key issue sio tukio lilirekodiwa vipi, ila ni nani aliyelipua bomu.
  5. W

    Paul Sarwatt: Simulizi halisia bomu la Soweto Arusha

    Kifo cha nyani miti yote huteleza, ccm kimepoteza uhalali wa kuwepo madarakani (serikali sio ya Watz tena), sasa tunapaswa kuiondosha, na kuweka mbadala wake. Kusubiri 2015 yaweza kuwa ni kuruhusu mauaji zaidi.
  6. W

    Takribani wanachama 100 na waliokuwa wagombea 2 kuhamia CHADEMA

    Kama ilivyokua Tunisia nk, pia sababu zipo Tz, kuondoa serikali iliyojisahau kuwa ipo kwa ajili ya wananchi.
Back
Top Bottom