Salaam wanaJF, napenda kupiga hodi kwa jamvi hili maridadi la wanaharakati!!!!
Ujumbe:
Sasa tunataka mtu anayetaka kuwa rais wetu ajiulize anataka kuifanyia nini nchi yetu na sio nchi yetu itamfanyia nini, tunataka kila mtu ajiulize, kila mmbunge mgombea wa chama chochote, kwa dhati kabisa...