Mpanzu na Joshua mutale walifundishwa wakishika mpira wapenye safu ya azam na chenga kama madenge kwenye gazeti la sani na wanashot gool.
Wale morisoni, Mukwala na wengine waliambiwa wakiona goli tu walenge shoot gool.
Ukiona timu ilivyocheza unaona kabisa uwezo wa matola. Viongozi...
Washabiki hawamtaki Matola tokea Zamani mno. Kila kocha hufukuzwa na kubaki yaye tu ana nini.
Kocha wa timu kubwa sio kazi ya kilamtu. Shabiki gani atalipia kiingilio kwenda kumuangalia matola.
Kwa wazawa Mgunda anaiweza Simba kuliko mbongo yoyote. Gharama za kawaida tu.
Kongo alikuwepo...
Magoli mchezaji aliyempigania na anakula nae ni Joshua Mutale budo. Lazima aanze piga ua. Na Fadlu kuondoka tu kawashika wasouth wawili. Za ndani kabisa.(kwa mujibu wa za ndani kabisa)
Mpanzu ni Try Again na wanaompenda Simba yani akina Matola.
Wale wa skauti wa Mo ni kujipigania hata kama una...
Kagoma, kibu, chamue na kante sio wakuwekwa benchi na akina maema, budo, kamara, na wengine.
Kiukweli kama Dp world anataka timu mpeni tu.
Huyu budo tunae mwaka sasa hana chochote basi tu. Mnatukosea sana washabiki.
Baada ya tukio linalodhaniwa la kutekwa polepole wakili msomi alitakiwa kufanya kilakitu kuhakiki ukweli wa taarifa mfano.
1. Kwenda eneo la tukio na kupata ushaidi mfano.
A. Kuna camera
B. Damu ilitapakaa pale ni ya polepole kweli na sio ya mbuzi au kuku.
C. Kutafuta wapelelezi binafsi ili...
Imani ya Deep state imekuwa sana. Maana ya Taifa kuwa chini ya watu wasiojulikana(deep state) liko nje ya uwezo wa Raisi.
Inaaminika ata tawala za ulaya zipo chini ya deep state.
Kwanini nasema hivyo. Moja vaa viatu vyake.
Deep state ni kama Shetani mkuu. Atakupandisha juu ya mlima mrefu...
Usimi wa kibongo ni upumbavu. Dunia ya wasomi uelewa hupimwa kwa mtazamo. Ujenzi wa dhana na sio kukariri. Lugha na mawasiliano vipo kukidhi mawasiliano na maelewano na si kuwa sawa kilakitu.
Mzungumzaji kulewa tu mwandishi alimaanisha nini ni jibu tosha kuwa ka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.