Wewe ndiye mdumavu. If you are so smart why aren't you rich? Ilani naxsera za CCM ni hizihizo ziliikomboa Nchi yetu ukoloni na utumwani; hizo hizo zilizikomboa Msumbiji na Zimbabwe na Afrika ya Kusini. Hizohizo zilimsomesha Raila na Askofu Bagonza na Museveni. Are you saying wote hawo wamedumaa...
Nani kasema wabebe Kila Mkoa? You carry as much as you can get. Hili ni jambo la kawaida sana huko Bara, kutumia malori ya SHIRECU kwenda Christmas au malori ya Polisi kwenda kuona mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Pamba United. What is the big deal?
Imeelezwa kuwa na Katekista alikuwa anamtembelea Msharika wake, kwa nini uhisi ni shetani? Si ni kutoa ushirikiano tu? Unajiuliz iweje mtu AVAMIE halafu AOMBE kupewa kompyuta? Ni wajibu wa wa Msaliti kutukana na jambazi kukimbia; wajibu wa Raia mwema ni kutoa ushirikiano. Mara nyingi matokeo...
Hilo sasa si uwaulize waliowasilishiwa, mbona unatuuliza sisi? Instinctive reaction ya Msaliti ni kutukana na jambazi kukimbia, ya Rais mwema ni kutoa ushirikiano.
Mmmmh, akakinukishe kama alivyoahidi. Of course atapokelewa na Polepole na Askofu Bagonza pale Msimbazi Centre kwa ukaribisho wa Padri Kitima ila sasa sijui kama Sheikh Ponda Ponda na Askofu Gwajima watakubali,?
Hivo hujagindis kuwa Mwambukuzi ema ni mental au nicompoop namba anavoongea na kujenga hoja kama punguani? I can understand watu kama kina Lissu na Fatima Karume walau Wana masters za Ivy League lakini huyu bwana Kajunjumele is too much of a buffon. Hivi alisoma wapi? Kina aliye na CV yake atugee?
Flipflop
ALLYS STAR VVIP CLASS MCHANA NO1
Confirmed
SHINYANGA-DAR ES SALAAM via DODOMA
901357197620
Trav date:2025-09-02
Report:15:00 PM
Dep time:15:30 PM
Bus plate no:T 938 EHN
Seat:6
Name:George Funguka
Boarding point:ALLYS STAR OFFICE HQ
Dropping point:DAR ES SALAAM
Fare:TSH...
Uhuru wa Nchi hii uliletwa na TANU na Waislamu wa Kariakoo na Yanga. Baada ya maasibya Jeshi 1964 ndipo Nyerere akalusuka upya Jeshi let kwa kutumia Vijana wa TANU Youth League, kwa hiyo TPDF haiwezi kusagau lilikotoks
This is a no contest. LPG kilo 20 kwa US$0.8 cannot be true even on the face ot it. Nchi jirani ya Venezuela. yenye risavu kubwa za gesi. mtumgi huko huuzwa US 39.85, kuumbuka Cuba Haina gesi Wala mafura. Polepole katoa Bei aina 3 kama enzi za Ukomunisti USSR au sisi enzi za Tume ya Bei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.