Kwa hali ya maisha ya sasa na mitindo ya maisha ya kilasiku, kwakweli ni vigumu kupata vijana wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na weledi na vipaji vya kipekee kama akina leornado da vinci,einstein, sababu mojawapo ni vyakula vya siku hizi.Je wewe mdau una maoni gani?