Recent content by Wili3

  1. W

    JamiiForums Nishaurini ndugu zangu

    Umeamua kutokuelewa lakini ukiamua kuelewa ujamuelewa hadija na zion daughter. Binti ana wasi muda unaenda(kiumri) haolewi ili waanzishe familia,jamaa anachagua kazi sii kwamba hapati hapo ingekuwa habari nyingine,jamaa kicheche. Jamani tusidanganyane hata tulio katika ndoa tunafahamu kipato...
  2. W

    JamiiForums Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    Hivi unataka ushauriwe nini kwa sasa? Ungeomba ushauri kabla hujaamua kuwa na huyo sharo wako. Hapa unatupotezea tu maana nawafahamu wasichana anajidai anaomba ushauri huku anayo majibu tayari. Wewe amua utakavyo ila utaendelea kuwa chini ya kivuli cha huyo mshamba cku zote.
Back
Top Bottom