Recent content by Wilfredy Audiphace

  1. W

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia Fedex

    Hapana nini tena?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Simple raba bei nafuu

    Elfu tano hizo ni feki au origino?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia Fedex

    Wakuu kutumia shirika la usafirishaji fedex lazima uwe na account kwenye shirika lao kama ilivyo posta?
  4. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka nje.

    Vipi kuhusu garama zake
  5. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka nje.

    Je ukifika tanzania nauchukulia sehemu gani
  6. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka nje.

    Asante. Ila mkuu unamaanisha nini unaposema post unayoweka wakati ukichagua bidhaa unamaanisha ni sehemu au eneo unapotaka mzigo ushukie?
  7. W

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayozuia mafanikio yako

    Ni sawa ila usikubali liwe ni tatizo unajua wapo watu wanaoumwa kila mara na ukiangalia chanzo utakuta ni uzembe wao wenyewe
  8. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka nje.

    Asante naweza kuwasiliana na wewe kwa kupitia hii namba yako ya wasap
  9. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka nje.

    Wakuu natumaini nyinyi yote mpo salama. Nahitaji kujua je nikiagiza bidhaa kwa kutumia kampuni ya aliexpress nitazipata wapi bidhaa zangu kwa hapa tanzania na vipi kuhusu kodi!? . ningeomba mtu ambaye ashawahi kufanya anisaidie kwa mfano dhahiri tafadhali.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayozuia mafanikio yako

    Sawa mkuu nilikuwa sina uelewa na jambo hilo ila nataka kuuliza je nawezaje kufanya matangazo humu kwa kuwa mimi ni muandishi wa vitabu mbalimbali?
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayozuia mafanikio yako

    Nimekuelewa mkuu
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayozuia mafanikio yako

    09. Kuwa na mtazamo hasi. Siku zote kwenye maisha mtu mwenye mtazamo hasi hushindwa hata kwa jambo dogo. Hivyo badili mtazamo wako na uwe na mtazamo chanya kwenye malengo yako. Mtu mwenye mtazamo chanya huwa na msukumu (inspiration) wa hali ya juu kwenye kutimiza alichokusudia. Ili uwe na...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayozuia mafanikio yako

    Hahaaaa utaenda kufanya nini wakati elimu yako huwezi kuwashinda but mimi sitafikia huko mawazo yako yalikofika mkuu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  14. W

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayozuia mafanikio yako

    Sijasema asitoke ndugu ila nimesema awe na imani kuwa hapo alipo haijalishi ni kijijini au mjini yupo mahali sahihi na sehemu ulipo ndipo fursa inapopatikana wangapi wanatoka vijijini na kuja mjini na maisha yakawashinda na kurudia kulekule?
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mambo yanayozuia mafanikio yako

    Asante Pamoja kaka
Back
Top Bottom