Recent content by wilfred001

  1. W

    JamiiForums Tanzania PGO mwiba kwa maafisa wa Jeshi la Polisi, wanafanya kazi kwa taratibu zipi?

    Huwezi hata siku moja ukashindwa kuufahamu mwongozo wako wa kazi au usiufahamu kabisa ni uzembe kazin, hapo hakuna cha kutetea.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Gaidi aliachwa agombeee ubunge
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kina Mdee wataadhibiwa kwa kuvuliwa vyeo tu kwenye chama, wataendelea na Ubunge wao

    Chadema watoe maamuzi leo hata kama watuhumiwa hawatakuja wawe na tamko wasiingie mkenge wowote wa kusubiri kwa muda wowote ule . Nawaonba sana ilindeni heshima yenu kama chama.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kina Mdee wataadhibiwa kwa kuvuliwa vyeo tu kwenye chama, wataendelea na Ubunge wao

    Halima mdee ametumika kwa asilimia 100 kwenye hili na ccm , nafikiri kuna bonus nyingi ameahidiwa kutoka ccm, ndiyo maana amekuwa usaliti ghafla. Halima mdee na genge lake wanatakiwa waondolewe kwenye chama mara moja wataharibu chama kabisa kwasababu wanatumika kuharibu chama, hawatakiwi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo: Hoja saba zinazowafanya Watanzania wasiwe tayari kumwaga damu kwa maandamano

    Lazima uelewe sheria zinasemaje usiwe unaleta pumba tu hapa kwa wanaume
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo: Hoja saba zinazowafanya Watanzania wasiwe tayari kumwaga damu kwa maandamano

    Polisi wanatakiwa kuwalinda pasiwe na vurugu tu na upigaji bhasi maandamano ni haki ya kila mtu pasipo kuvunja sheria
  7. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo: Hoja saba zinazowafanya Watanzania wasiwe tayari kumwaga damu kwa maandamano

    Hujaambiwa kumwaga damu kuwa mwelewa kijana wa lumumba ni maandamano ya aman hakuna silaha wala vita hakuna panga wa kisu wa bunduki ni maandamano ya aman ya kudai haki ila polisi ndo watasababisha silaha zitumike lakin wakiachwa ujumbe wao ufike unakotakiwa utafika tu kwa aman bhasi
  8. W

    JamiiForums Tanzania Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

    Je hao ambao pole pole anataka wachunguzwe na uhamiaji ana uhakika siyo raia wa Tanzania? Vyeti vya kuzaliwa vya hao watu anavyo yeye polepole, mwambieni afanye kampeni za kisasa siyo kupayuka payuka tu kwenye vyombo vya habari kila siku press conference zinamsaidia nini analeta uongo uongo tu...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Polepole: Uhamiaji fuatilieni uraia, kuna baadhi ya watu si wenzetu!

    Pole pole anzia humo ndani mwako ulimo ndipo utoke nje.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mwibara: Baada ya Tundu Lissu kuzuia njia ili kivuko kisishushe magari na mizigo, azua tafrani baada ya maiti kukwama kwenda kuzikwa. Tazama video

    Kwani wakati hicho kivuko kimezuiliwa kuvuka kwasababu ya lisu kwenda ukerewe wasafiri ambao walitakiwa kwenda ukerewe hawakupata usumbufu?? Mmeliona hilo la kivuko tu kurudi ukerewe? Ulitaka lisu akapaki magari yake wapi? Kwanini walipoona lisu amekaribia kumaliza mkutano wake ndipo wakaliondoa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 Makonda: Rais wa kwanza CHADEMA bado yuko shule ya msingi, hawa wa sasa wanarukaruka

    Kwanza yeye mwenyewe tu angejihoji kwanza anahojiwa na chombo gan? Tayari angejipatia jibu kuwa hana jipya lolote.
  12. W

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yavitahadharisha Vyama vya Siasa na Wagombea kuhusu uvunjifu wa Sheria za nchi

    Kwa ujumla NEC haipo kabisa hata wakenya wametudharau sana. Kama kiongozi wa NEC anapigia kampeni chama fulani unategemea nini. Tuwe na tume huru tu
  13. W

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Hapo watu wanachezewa akili tu, huo ni mpango wa kutengeneza matukio tu
  14. W

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Jaman msidanganywe na wanasiasa wa lumumba, hawa ni vijana wa lumumba ndo wanatengeneza haya mambo ni kutafuta kiki kwa waalimu, hapa wanataka kuwarudisha waalimu kwenye msitari kwasababu wameona ni maji ya shingo. Kimsingi wao waongeze mishahara tu ndipo wataeleweka tu tofauti na hapo mambo...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu njoo uone Ubungo interchange imekamilika

    Uhuru kwanza
Back
Top Bottom