Jamani naomba tusiwe wavivu wa kufikiri japo kidogo tu, hivi mwanafunzi anasoma ili iweje?(aelewe anachofundishwa na kuwa na uwezo wa kujieleza/kujibu maswali au ni kufikia hizo gredi tu ili afaulu) Kwa mtindo tunawapa ijumbe gani wanafunzi wengine? je si kuwafanya wawe wavivu kabisa hasa katika...
Mimi naona tatizo ni kwamba bado hatujajitambua kabisa katika elimu yetu, tulipiga kelele walipofuta mitihani ya kidato cha pili; lakini hawakujali, muda wa mavuno ulipofika ndio wanashangaa kuona hizo sifuri. Japo ni kweli kufeli hatua moja sio kushindwa kwa hatua nyingine lakini sio busara...
Tulishangaa sana pale baadhi ya watahiniwa walipochora mazonbe kwenye karatasi zao za majibu, lakini ukweli sasa ndio huo unaanza kuonekana> Tangu lini kiongozi asiye na nia akafikiri sawasawa ndugu zangu, katika hili mimi wala sishangai na ipo siku watafuta kabisa hivyo viwango vya ufaulu ili...
Dear Brother at Jamii forum, I am looking for public universities/colleges of health science that offer a diploma and certificate programs in medical laboratory science and technology,clinical officer and other programs specialized in health services.Also i would like to know if ,it will be...
Jamani naombeni mnisaaidie majina/websites ya vyuo vya afya vya serikari vinavyotoa cheti na stashaada:katika fani medical laboratory na clinical officer
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.