Recent content by WILEY

  1. W

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Kwani cha ajabu kipi hapo, mbona hapo kasema vizuri, embu tafsiri vizuri content ya hiyo clip msije mkapotosha Watz! Tofautisha kati ya kuomba kuombewa ili atimize lengo lake na kuomba kura, msiwe mnatoa tasfiri zisizo na maana. Swali: nini maana ya udini? Ukiweza kuelewa maana ya udini...
  2. W

    JamiiForums Tanzania CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Udini wa Lowassa na CHADEMA

    kauli kama hyo haiwezi kuligawa watanzania sio wepesi kiasi hicho hata kidogo sema mnataka kukuza mambo ambayo hayakuziki,,,,,,,,,,,,,,,,,ALL THE BEST
  3. W

    JamiiForums Tanzania CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Udini wa Lowassa na CHADEMA

    content not sapported
  4. W

    JamiiForums Tanzania CCM Wazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Udini wa Lowassa na CHADEMA

    content not supported, may be come again!hizo ni hila zisizo na mashiko kwa mtu mwenye ufikiri mkubwa,
  5. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa akichaguliwa, Tanzania itatengwa na Jumuiya ya Kimataifa

    speed 250 hamna kurudi nyuma,IMEWAKA:bange:
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye usahili PPF

    KAKA NAMI WAMENITUMIA ASEE,0657111251,Nichek tubonge kidogo ndugu
Back
Top Bottom