Recent content by wikel

  1. W

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Mfanyakazi Wakike kwenye duka letu la kuuza laptop

    tushapata tunashukuru
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta Mfanyakazi Wakike kwenye duka letu la kuuza laptop

    Tunatafuta msichana/mwanamke wa kutusaidia kazi za ofisini katika duka linalojihusisha na uuzaji na matengenezo ya laptop. 📍 Eneo la kazi: Kariakoo, Dar es Salaam 💰 Mshahara: Kuanzia TSh 300,000 Jinsi ya kuomba: Tuma CV pamoja na picha zako kupitia WhatsApp kwa namba: 📱 0765 171 270 Karibu...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Ujinga wanaofanya watu wa parking za mjini

    Huwa kuna sehemu maeneo ya Mnazi mmoja kuna kama chuo kidogo huwa naenda , darasa ni kwa saa moja Huwa mara chache naenda na gari, ila Kuna kitu hakipo sawa, yaani haiwezekani nipaki kwa saa halafu bili ije 5000 Hicho chuo kipo kama gorofani, juzi wakati nashuka nakuta mtu wa parking yupo na...
Back
Top Bottom