Ukiangalia aina ya E mail wanazotumia , utagundua kuwa mapeli ndo wanaandaa haya matangazo, hao ukisha tuma lazma wakujibu na kukwambia tuma 20000 Kwa namba no. Kwaajili ya form,tafuta kopo lolote la dew drop kama utaona free E mail kama izo, Makampuni yanatumia email za kulipia, sio email za...