Naombeni msaada wenu wa hali na mali maana mchumba wangu anapatwa na mabadiliko ya mara kwa mara kama kutapika nakadhalika.
Mimba yake ni ya kwanza jamani naombeni mnifungue macho.
Naombeni ushauri jamani, ili niweze kumweka sawa na kumwondolea hofu mke wangu ambae hajapata elimu ya kutosha kwenye maswala hayo kwa sababu ameanza kusumbuliwa na kizunguzungu pamoja na kutapika ovyovyo.
Je afanyeje?
niko ngorongoro nahitaji mtu wa kubadilishana nae kutoka sehemu zifuatazo arusha mjini,arumeru,monduli,karatu au moshi mjini so kama kuna mtu anataka kuja huku anipigie kupitia no.0752016521 tufanye mchakato
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.