Matatizo gani huwa anayapata mjamzito kwa mimba ya kwanza?

whiteman

Member
May 10, 2014
6
0
Naombeni ushauri jamani, ili niweze kumweka sawa na kumwondolea hofu mke wangu ambae hajapata elimu ya kutosha kwenye maswala hayo kwa sababu ameanza kusumbuliwa na kizunguzungu pamoja na kutapika ovyovyo.

Je afanyeje?
 
OLESAIDIMU

JF-Expert Member
Dec 2, 2011
19,161
1,250
Kaka mke akiwa mja mzito hatapiki hovyohovyo!!!!!!
Huwa anatapika tu sababu zinajulikana kisayansi mpaka kijamii, mwanamke anapokubali kukubenea uja uzito kakuheshimu sana unless hamkujadili kabla ila sio jambo dogo anyhow!!!!!

Kaa naye zungumza naye kubali mabadiliko yake na uishi naye kwa hali yake,wanapata taabu sana kipindi hiko naongea kwa uzoefu ila ukitulia na kuelewana naye anapata ahueni japo ya kisaikolojia tu!!!!

Kizunguzungu inaweza kuwa kawaida ila lazima uondoe sababu zote zinazosababisha hii hali ili ujue kweli ni uja uzito same na kichefuchefu!!!!!!

Mbadilishie mlo apate ule aupendao na unaweza kuupata kwa kipato chako,mfuatilie ili aone unajali yeye kula mpigie wakati wa chakula na kama upo karibu nenda kabisa!!!

Ikizidi nenda hospital watakupa dawa ya kutuliza na.kukata mate!!!! Labda Nosic ua nyingine!!!!

Kongosho, ASHA dii, Ennie, Karucee, King'asti, gfsonwin, Fixed Point, Kaunga, BADILI TABIA na wadada na wakaka wenzangu wenye wazoefu wa hili tumsaidie memba wa klabu ya uzazi na malezi
 
Last edited by a moderator:

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000

Mbona kama umeshasema yote baba watoto?
Hicho kizunguzungu si kizuri,kama ameshaanza clinic akawaeleze na kama bado akamuone daktari.
Kutapika ni kawaida hasa kwa miezi mitatu ya kwanza ila ikizidi sana anaweza akatumia dawa atakazoandikiwa na gyno.
Aondoe hofu,kuwa naye karibu na mfate ushauri wa wataalamu na kila kitu kitaenda sawa kwa rehma za Mungu.
 
DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,822
2,000
Pia weka pesa kwa mkao wa matumizi, kibaolojia, mwanamke anapo beba mimba, kinga yake ya mwili huwa dhaifu sana, hivyo huweza kushambuliwa na magonjwa mbali mbali, keep her safe brother.

Kizungu zungu na kutapika ni kawaida kwa mimba changa, na bado anaweza akaanza kulalamika mgongo kuuma, akianza hivyo hulali nakuambia, be responsible person.

Wangu alinisumbua, ila nilipenda sana hali ile, nilifanya kila niwezalo na kila nikikumbuka nnafurahi maana i played my part.
 
Kongosho

JF-Expert Member
Mar 21, 2011
36,027
1,500
Mie nshagajisemea, kiboko ya mwanamke mimba. Hakuna blue hatoiona. Yote ni kawaida kabisa, vumilia tu, iwe ya kwanza au ya kumi, kila moja inakuja kwa mtindo wake. Hazinaga uzoefu atii.
 
Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
Sidhani kama kunahitajika maelezo ya ziada. Tukiwa wajawazito tunakuwa a bit emotion. So some loving na understanding is not only good for us but for the little beings we are carrying inside. Maana emotions za mama zinamuathiri mtoto. A happy mother is more likely to bring a happy baby.
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,127
2,000
ndugu hapo jamaa wamezungumza vya maana sana, ila kikubwa usimtenge kamwe, kuwa nae kwa kila haría. hakikisha unaenda nae Clínic kadiri ipasavyo na ikiwa una mfuko wa kutosha Jitahidi Clínic muwe mnakwenda kwa specilist wa salina mama...
 
kabanga

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
37,127
2,000
ndugu hapo jamaa wamezungumza vya maana sana, ila kikubwa usimtenge kamwe, kuwa nae kwa kila mara. hakikisha unaenda nae Clínic kadiri ipasavyo na ikiwa una mfuko wa kutosha Jitahidi Clínic muwe mnakwenda kwa specilist wa salina mama...
 
everlenk

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
11,604
2,000
Mengi yamesemwa zingatia hayo, mi nakupa hongera kwa kuwa kamili wewe na mkeo,Mungu akitunze kiumbe chenu na aje ajifungue salama.
 
Miss Neddy

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,697
2,000
Kaka mke akiwa mja mzito hatapiki hovyohovyo!!!!!!
Huwa anatapika tu sababu zinajulikana kisayansi mpaka kijamii, mwanamke anapokubali kukubenea uja uzito kakuheshimu sana unless hamkujadili kabla ila sio jambo dogo anyhow!!!!!

Kaa naye zungumza naye kubali mabadiliko yake na uishi naye kwa hali yake,wanapata taabu sana kipindi hiko naongea kwa uzoefu ila ukitulia na kuelewana naye anapata ahueni japo ya kisaikolojia tu!!!!

Kizunguzungu inaweza kuwa kawaida ila lazima uondoe sababu zote zinazosababisha hii hali ili ujue kweli ni uja uzito same na kichefuchefu!!!!!!

Mbadilishie mlo apate ule aupendao na unaweza kuupata kwa kipato chako,mfuatilie ili aone unajali yeye kula mpigie wakati wa chakula na kama upo karibu nenda kabisa!!!

Ikizidi nenda hospital watakupa dawa ya kutuliza na.kukata mate!!!! Labda Nosic ua nyingine!!!!

Kongosho, ASHA dii, Ennie, Karucee, King'asti, gfsonwin, Fixed Point, Kaunga, BADILI TABIA na wadada na wakaka wenzangu wenye wazoefu wa hili tumsaidie memba wa klabu ya uzazi na malezi
word!
mimi naweza kutoa ushauri ingawa uzoefu sina etii
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom