Recent content by White king

  1. White king

    Natafuta kazi kwenye Salon, uzoefu ninao!

    Mambo vipi wana JF? Poleni na majukumu ya uzima, mwenzenu nimekuja na ombi kidogo kama mjuavyo kwenye maisha MUNGU hajamtunuku kila mja. Mimi kama kijana mwenye uzoefu na kazi za saloon za kiume,naishi IRINGA, nawaombeni kama kuna mtu ana salon au anaplani za kumiliki anipe kazi na kuhusu...
  2. White king

    Ni Mimi tu inanitokea au lah! !!!

    Wanaume hatushindwi ,jiamin bendera ipepee Sent using Jamii Forums mobile app
  3. White king

    Ni Mimi tu inanitokea au lah! !!!

    Jiamin tu,pia tafta mkwanja ako kagiza kataondok kenyew. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom