Recent content by White drone

  1. W

    JamiiForums Tanzania Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

    Amini umetoka salama, katoe sadaka ya shukrani
  2. W

    JamiiForums Tanzania Sijui niseme nini lakini Mungu alikuwa upande wetu jana.

    Nilishuhudia hiyo ajali kumbe ndo wewe, poleni sana!
  3. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020

    Ndo serikali yetu ilivyo hatuna budi kukubali
  4. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Kunenge awataka TANROADS na TARURA kumaliza miradi ya barabara iliyoahidiwa na CCM 2020

    Watu waishio pembezoni mwa barabara ya mzenga-mlandizi-bagamoyo wamefanyiwa tathmini zaidi ya miaka kumi sasa kwa ajili ya kulipwa ili kupisha ujenzi wa barabara hiyo kwa kiwango cha lami lakini mpaka sasa hakuna malipo yoyote yaliyofanyika, wananchi wamezuiwa kuendeleza ardhi yao kwa namna yoyote
  5. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Asante sanq
  6. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Asante sana ndugu
  7. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Ni kweli kabisa
  8. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Msiba unasafirishwa kutokea hospitali so hapa upangajini hakuna lolote like nothing happened
  9. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Hakika majirani ni watu wa kuishi nao vizuri sana, binafsi najitahidi sana kuishi nao vema japo mara nyingi na mind business zangu
  10. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Hakika inauma sana
  11. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Zinapokelewa lakini si kupitia mimi ni kupitia mwenye nyumba wetu
  12. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Na iwe hivyo
  13. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Asante mkuu, ukweli kifo ni ukumbusho tosha.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Basi mkuu marehemu hasemwi kwa namna hiyo
  15. W

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufiwa na mpangaji mwenzako?

    Asante sana,mbele yake nyuma yetu
Back
Top Bottom