Naomba nisieleweke vibaya. Ndio maana nikasema huu ni mtazamo wangu, na ninaamini sio lazima sana mtazamo wangu urandane na mtazamo wa mtu mwingine. Na ndio maana nikaiweka hapa hii hoja, hivyo kama kuna mwenye mtazamo mwingine naye pia ana haki ya kuwasilisha. Kama huna unaweza kukaa kimya ili...
Wandugu nina langu la moyoni kuhusu mauji ya Wanajeshi wa Tz walioko Sudan kwaajili ya peacekeeping. Hivi huwa wakiwa huko hawa wanajeshi wanakuwa katika makambi kutokana na nchi au wanachanganywa wote. N a kama wanachanganywa iweje dhahama iwakumbe wa-Tz peke yao? labda kuna makundi kulingana...
Hodi wenyewe, nawasabahi nyote sina shaka mu bukheri wa afya. Tafadhalini naomaba munipokee humu ndani ili tujumuike sote katika yale yote yanayojili pahala popote.
Natanguliza shukurani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.