Recent content by west ham

  1. W

    JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri

    Habari zenu wana jf. Vp kuhusu biashara ya kuchakata Kokoto Dodoma kwa ajili ya ujenzi hali kibiashara ikoje? Mana baadhi ya Miji hii biashara imeshuka sana.Mwenye Uwelewa naomba kujuzwa.Shukran.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Admission

    Asante sana Ndugu kwa Ushauri wako wenye maono. God bless you.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Admission

    Asante Kwa Ushauri tutajaribu huko Bugando
  4. W

    JamiiForums Tanzania Admission

    Habari zenu Wadau. Nina Kijana wangu amepata ufaulu wa PPont 7 yaani BB Chemistry na Biologym na C Physics. Aliomba MD MUHIMBILI na UDOM na kote amekosa. Naomba Ushauri jamani . natanguliza Shukurani.
  5. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuponda kokoto

    Ni kwamba tayari ninayo crusher lakini niko nayo Tanga lakini biashara imeyumba halafu ushindani ni mkubwa sana kwa hio nilikuwa nataka niihamishie Mkoa mwengine,natumai umenielewa ndugu.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kuponda kokoto

    Habari zenu wadau.Ninaomba ushauri kuhusu biashara ya kutengeneza kokoto,jee ni Mikoa gani ambayo ninaweza kuwekeza na kunilipa? Natanguliza shukurani.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Nauza Chokaa

    Jamani ninauza Chokaa safi kutoka Amboni Tanga.Kwa yeyote anaehitaji iwe ni kwa Jumla au reja reja naomba tuwasiliane kwenye number 0657 556692. Natanguliza shukurani.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Nauza Chokaa

    Jamani nina Chokaa safi kutoka Amboni Tanga. Kwa yeyote anaehitaji iwe kwa jumla ama rejareja naomba tuwasiliane. Natanguliza shukurani kwenye number hio hapo 0657 556692.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Shamba Linauzwa(Bagamoyo)

    Umesema ni km chache kutoka bagamoyo,liko karibu na kijiji gani?umbali gani kutoka barabara ya lami,weka wazi mkuu ili tufanye biashara.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mabegi/Handbag/Mkoba ya shule

    Kwa yeyote anaehitaji handbag,mikoba ya shule na mikoba ya kuekea computer mpakato,naomba tuwasiliane. Hivi vitu ni vya mitumba kutoka UK.
Back
Top Bottom