Recent content by wesle

  1. W

    Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    je wanaodai kuwa sie tushakuwa ndugu wa damu wako tayari kwa selikali moja???kama hawako tayari baada ya miaka hamsini solution ni selikali tatu....kama wazanzibari wanaithamini sana nchi yao kiasi cha kutokuwa tayari kuungana na kuwa nchi moja,basi watanganyika nao wanapaswa kuithamini nchi yao...
  2. W

    John Komba atishia kuingia msituni endapo wananchi wataamua Serikali tatu

    hahhaha huko polini ataishia kuwaconfuse sokwe mtu,watazani ni mwenzao kavalishwa nguo...
  3. W

    KIKWETE: Awaponda UKAWA

    kajifunze kuandika kwanza
  4. W

    Warioba, Wananchi Walitaka "Serikali 3" au "Nchi 3?"

    jamani mbona tunapotosha kauli za watu!je ni lini walioba alisema watanzania wanadai nchi tatu...kwa akili ya kawaida hiyo nchi ya tatu inatoka wapi wakati nchi zilizopo ni mbili tu...tuliomsikia walioba alisema kwamba wananchi walio wengi wanataka selikali tatu jambo ambalo linawezekana katika...
  5. W

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 28 Machi 2014 - Maamuzi ya Bunge Kuhusu Kanuni za 37 na 38

    hapo kinachofata ni ccm kuzibiti wafuasi wake wapige kula za wazi na pale mbunge wa ccm atakapopiga kula ya siri ataonekana kama msaliti..na atakapopiga ya wazi ni lazima afuate matakwa ya chama chake na wote wamsikie...isipokuwa esther bulaya ambae toka mwanzo yeye anataka kula ya siri and i...
Back
Top Bottom