Kwanza naomba ukaribisho wenu hapa kiwanjani,
Mada hii imenigusa sana, lakini ni nani atakayethubutu kumfunga Paka kengele? wakati sisi wote ni panya? wazo langu ni kwamba huku huku juu kabla hujafika kwa wanausalama (polisi) kuwe na uwezekano pale pale polisi yaani pale kituoni angalau...
wazungu wanajitahidi kutokuwa waongo sana , lakini hii inategemea sana nchi, kama Mturuki au Mgiriki au Mtaliano ni wazungu pia , asilimia ya uongo hapa ni kubwa sana na hasa ktk suala la pesa na pia mapenzi, lakini ukiangalia nchi kama Ujerumani, Ufaransa na nyingine hapa uongo kwa asilimia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.