Hayo ni miongoni mwa maneno yaliyotamkwa na mkazi wa Kata ya Kibosho Mashariki, John Massawe, wakati akimweleza Diwani wa kata hiyo, Steven Massawe, hali ya taka zilizotupwa katika eneo la barabara ya Mweka, barabara inayotumiwa na wageni wanaposhuka kutoka Mlima Kilimanjaro.
John alizungumza...
MOSHI, KILIMANJARO.
Ni majira ya saa moja na nusu usiku wa Ijumaa.
Katika utulivu wa usiku, eneo la barabara ya Mweka lilikuwa likipokea wageni ambao wananchi hawakuwatarajia — si watu, bali marundo ya taka.
Kwa mujibu wa mashuhuda, watu wanaotajwa kuwa ni wapagazi wanaoshuka kutoka katika...
HAI
Ilikuwa Septemba 25, 2026, siku ambayo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Bomang’ombe, Agness Kimaro, anasema alianza kama siku nyingine ya kawaida ya shughuli za chama.
Akiwa njiani kuelekea Gezaulole kushiriki maandalizi ya ujenzi wa shina la CCM, Kimaro anasema hakutarajia safari hiyo ingeishia...
ASILIMIA 76 YA WAGOMBEA WA NCCR-MAGEUZI VUNJO WAENGULIWA .
Chama Cha NCCR-Mageuzi wamelalamikia kitendo cha kufungwa ofisi za watendaji Jambo lilopelekea wagombea wao kushindwa kutimiza takwa la kikanuni la kuchukua na kurejesha fomu kwa msimamizi msaidizi wa uchaguzi.
Malalamiko yaliyotolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.