Recent content by wenfurebe

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbaya TAZARA Bakhresa

    RIP binti
  2. W

    JamiiForums Tanzania Vurugu kubwa Buhimba mkoani Kagera

    Hii hatari.! Viongo vimenyofolewa.?
  3. W

    JamiiForums Tanzania Utapeli mpya kupitia sms

    Asante kwa taarifa
  4. W

    JamiiForums Tanzania barabara ya sokon karume yafungwa

    Hatari
  5. W

    JamiiForums Tanzania Foleni Ubungo

    Umeona ee hali tete
  6. W

    JamiiForums Tanzania Foleni Ubungo

    Kuelekea wapi kimaendeleo mkuu chakii
  7. W

    JamiiForums Tanzania Foleni Ubungo

    Hii foreni ya Ubungo imekuwa yakutisha siku hizi, sijui tunaelekea wapi mji huu kwa hali hii.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wizi kwenye mitandao Mpesa,Tigo Pesa na ATM

    Makampuni ya simu lazima yalaumiwe maana yanaonyesha hakuna anayefatilia hawa watu wanaosajili namba mtaani unaweza kusajili bila hata kitambulisho au ukamsajilia mtu ilimradi yeye kauza line. Inatokana na uzimamizi mbuvo wa kampuni inayokuwa imempa uagent.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Vodacom na malipo ya huduma kwa wateja.!

    Siku hizi nikipiga huduma kwa wateja najibiwa muda wangu wakupata huduma bule umeisha napewa namba yakupiga na kulipia ndo wanisikilize alafu wameweka matangazo yao unasikiliza mitangazo yao hadi kero hadi upokelewe usaidiwe na elfu 2 inakuwa imeisha. Wananikera na huduma zao basi tu sina lakufanya.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Wizi kwenye mitandao Mpesa,Tigo Pesa na ATM

    Hali ishakuwa tete kwelikweli kama ndo mtindo wa Helmet hii kiboko.! Inamaana ATM zinakuwa hazina maaskari.? Au wanashilikiana.? Wanaruhusu vipi mtu anaingia kwenye ATM na helmet.?????!!!! Haya maajabu mengine.
  11. W

    JamiiForums Tanzania Wizi kwenye mitandao Mpesa,Tigo Pesa na ATM

    ATM ya NMB
  12. W

    JamiiForums Tanzania Wizi kwenye mitandao Mpesa,Tigo Pesa na ATM

    Nimesikitishwa na mambo yanayoendelea kwa haya makampuni ya simu katika huduma ya Tigo Pesa na Mpesa pia ATM. Najiuliza ipi sehemu salama yakuifadh pesa.!!!!! Usiku wa kuamkia jumatatu ndugu yangu alitekwa akapewa madawa ya kulevya akaibiwa kila kitu simu, mkoba wake ndani kulikuwa na ATM card...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Barabara mbovu Dar mjini nani alaumiwe?

    Ukitokea hidery plaza, oryx shell kabla ya kukutana na barabara kubwa ya kuingia posta mpya pale kuna mashimo miaka nenda rudi hata kabla ya mvua nilishijiuliza maswali mengi sana bila yakupata majibu. Au ile barabara sio ya jiji.!!!!
  14. W

    JamiiForums Tanzania Foleni

    Taarifa anayo mkuu hii foreni hatari. Bora kuamia mwanza kweli
Back
Top Bottom