Recent content by waziridagaa

  1. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza Biashara ya dagaa wa Mwanza, Dar es Salaam

    0755213580 piga mkuu bei kila siku ina change
  2. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza Biashara ya dagaa wa Mwanza, Dar es Salaam

    Piga 0755213580 kwa sababu bei ina change kila siku kufuatana na uvuvi siku hiyo
  3. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza Biashara ya dagaa wa Mwanza, Dar es Salaam

    Hawa ni dagaa baada ya kutoka ziwani wana anikwa kwenye nyasi ili wakauke ,ambapo ni tofauti na dagaa wengine wana anikwa kwenye uwanja au mchanga usio na nyasi.nadhani umenielewa
  4. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kusafirishia dagaa nje ya Tanzania

    Mmh ndugu dagaa wapi hao,,dagaa wa mwanza au bukoba hawabanikwi
  5. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kusafirishia dagaa nje ya Tanzania

    Darasa la buree wafanya biashara wenzangu. Utaratibu na vitu vinavyo hitajika. 1. Inatakiwa kuwa na tin namba na leseni ya biashara kutoka tra. 2.Inatakiwa uwe na leseni ndogo ya kusafirisha dagaa ndani ya tanzania. 3. Inataki kuwa na kibari ya kusafisha mzigo wa dagaa kutoka wizara ya mali...
  6. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata shida baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu na baade kupata mtaji

    Onhoo ndio hao kumbe, Asante kwa ku share mkuu,,Mungu kaumba vitu vingi sana
  7. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata shida baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu na baade kupata mtaji

    Kama mlowo ,Tunduma, ni sehemu zinahitajika
  8. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata shida baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu na baade kupata mtaji

    hakika kule dagaa hazipo, Asante kwa kutuongezea fursa hapa na faida kwa watu wengine.
  9. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nataka kuanza Biashara ya dagaa wa Mwanza, Dar es Salaam

    JE UNAHITAJI DAGAA WASAFI WA NYASI TUNAPATIKANA MWANZA KIRUMBA MWALONI, MKOANI TUNATUMA KWA UAMINIFU MKUBWA TUNAWEZA WASILIANA WHATTSAPP AU PIGA 0755213580
  10. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata shida baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu na baade kupata mtaji

    Nguruka ni bidhaa gani mkuu tueleweshane
  11. waziridagaa

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata shida baada ya kuhitimu elimu ya chuo kikuu na baade kupata mtaji

    Yawezekana ndio natafuta lakini pia nimetoa historia sidhani kama kuna kitu kibaya mkuu
Back
Top Bottom