Recent content by waziri yasini

  1. W

    JamiiForums Tanzania Udom...sua...mzumbe toen selection jaman

    Udom...sua...mzumbe...ndo vyuo vinavyosubiriwa kwa ham xana right now hasa baada ya udsm kuachia admision zao xo kama vip na wao waachie mzigo
  2. W

    JamiiForums Tanzania Udsm..udom..sua...mzumbe wanasubir nn kuachia mzigo

    Kaka darius lile zal la airtel lilinipita kaka
  3. W

    JamiiForums Tanzania University of arusha mzigo umetemwa!!!

    Arusha university ni chuo kilichopo jijini arusha...maeneo ya usariver na IAA ni chuo cha uhasibu kilichopo maeneo ya njiro
  4. W

    JamiiForums Tanzania Udsm..udom..sua...mzumbe wanasubir nn kuachia mzigo

    Tar 16...cbe waliachia mzigo...wakafuata mt meru university...bila kupoteza muda st joseph university...siku zikazid kwenda TIA...nao wakaona xo ishu wakatoa mzigo...bila kuchelewa jordan university ambalo n taw la saut nao wameachia jana....leo asubuhi arusha university nao wametoa admision...
  5. W

    JamiiForums Tanzania Chuo vs A level ?

    Me naomba advance ipewe heshma yake, ni dificult level of education...in the world...
  6. W

    JamiiForums Tanzania TCU selections are OUT!!

    Pia kuna jamaa aliahid ataweka admision humu jf tar 19...na watu wakamdefend kuwa ni kweli...hatimaye katokomea na haonekani tena vp bro....
  7. W

    JamiiForums Tanzania JKT kidato cha sita jiandaeniii!

    Na kwel huu mwaka yamezid kaka
  8. W

    JamiiForums Tanzania Walio apply tcu & kaka zangu wa vyuoni!...

    Haki ya mungu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu tcu profiles

    Haya majanga
  10. W

    JamiiForums Tanzania Jamani tcu ni zaidi ya majanga ss hivi ingia kwenye profile yako utaaona u have not yet done app.,in

    Dah mpaka watoe hayo majina me ntakuwa na alcers tayar coz kla saa naiwaza tcu tu
  11. W

    JamiiForums Tanzania Please i nid ful details about this

    Imeandikwa not yet processed
  12. W

    JamiiForums Tanzania Please i nid ful details about this

    I min kuaply 4 de second round kaka
  13. W

    JamiiForums Tanzania Please i nid ful details about this

    Dah kama kuna mwenye uelewa zaid atuhabarishe
  14. W

    JamiiForums Tanzania Please i nid ful details about this

    Naomba ful details about this jaman, unakuta jina lako halipo katika orodha ya wanaotakiwa kuaply upya...na wakat huo huo profile stutas yako inasoma not yet selected. Pia na coz zote zinaonesha not yet selected na pia kwenye profile yako haujaambiwa u hav not done any selectn, iko poa, hii...
  15. W

    JamiiForums Tanzania tcu

    mwenye info kuhusu kuongezwa kwa mda wa aplication na tcu
Back
Top Bottom