Recent content by Waziri wa madini

  1. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa maombi kwa taifa dhidi ya watesi wetu.

    Cheka tu Sasa Ila utalia sanaaaa
  2. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa maombi kwa taifa dhidi ya watesi wetu.

    Tufanyeje?Sasa?
  3. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa maombi kwa taifa dhidi ya watesi wetu.

    Kama sio mbaya basi tuone wema wake
  4. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa maombi kwa taifa dhidi ya watesi wetu.

    Tunalia Kama wananchi kwa kipindi kigumu tunachopitia hatuna nguvu hayupo wakutusemea ,maisha magumu shida zimezidi ,viongozi wetu wanasikia Ila wameweka pamba masikio viburi vimewajaa hawana huruma kwa wananchi wao ,wamekuwa na roho mbaya iliyopitiliza ,wamekuwa waongo na hawana haya ...
  5. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Anajikosha tu hakuna Cha maana
  6. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Mungu tusaidie
  7. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Basi hata kuandika huwezi pia
  8. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Mbona hufanyi press conference ukasema ukweli shida nini nyinyi ndio watu tunaowategemea umesahau kipindi Cha magu hadi ukaitwa bungeni na ndugai Yale makali yapo wapi ? Bwana pasco
  9. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Tulipaza sauti ndio akaachiwa umesahau kuweni na shukran nyinyi m bw a wa ufipa
  10. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Unasimamaje
  11. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Hata kusema hapa pia nimejitoa
  12. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Matangazo pia huyaoni ndugu
  13. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Hawaelewi au hawataki
  14. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Wapo wapi watetezi wa Watanzania, wamesusa au wanalamba asali?

    Nikweli kabisa
Back
Top Bottom