Recent content by Wayaring

  1. Wayaring

    Kifo cha Magufuli ndio hasara kubwa pekee Tanzania imepata toka Uhuru

    Una akili sana, maana mazuzu hawaoni hayo.
  2. Wayaring

    Legacy ya Samia Suluhu Hassan ni ipi?

    Unafahamu mbio za kupokezana vijiti? Kama unafahamu yeye amepokea kijiti kutoka kwa chizi. Ugumu anaokutana nao na kuutatua ndiyo mafanikio yake.
  3. Wayaring

    Wasifu wa Samia Suluhu Hassan

    Safi sana, hao ndiyo ktk Cv zao wanaandika primary school. Hospital aliyozaliwa. Ukifuatilia vizuri utagundua wanachojaza ni Location.
  4. Wayaring

    Safari ya Maisha ya Kiroho ya Hayati Dkt. John Magufuli

    Muda huo wa ku copy mambo ya mpuuzi, umeutoa wapi?
  5. Wayaring

    Kufanyike nini sasa ili Hayati Magufuli achukiwe na wote? Naona waliokuwa wanamchukia wanabaki kuwa walewale

    Huo ndiyo upuuzi. "Unanijua mimi" maana yake watu waliwekwa ndani/magereza bila sababu za msingi. Fuatilia kipindi cha yule chizi, ndio utajua. Watu wanapewa kesi hazina mbele wala nyuma, hadi ndugu zako wanashangaa. Hiyo ndiyo maana ya unanijua mimi. Mtu alikuwa aki challenge Madudu ya system...
  6. Wayaring

    Kufanyike nini sasa ili Hayati Magufuli achukiwe na wote? Naona waliokuwa wanamchukia wanabaki kuwa walewale

    Lile lilikuwa ni Meo, limekata moto bila machafuko, safi sana. Halita pumzishwa chizi lile, tutalinanga mpaka basi. Maana sasa tuna uhuru. Binadamu kosa kila kitu kasoro uhuru. Yule chizi alikuwa na fix siyo za karne hii.
  7. Wayaring

    Kama biashara zilikufa na kufungwa miaka 5 iliyopita, hizi faida za mabenki zilitoka wapi?

    Hapana umechanganya dawa, mambo yapo hivi: Ukimpenda chizi na akafariki unapaswa na wewe kufa ili uzikwe naye.
  8. Wayaring

    Rais Samia analala nje ya Ikulu?

    Inawezekana hata wewe haujielewi maana; 64km za mraba Inaweza kuwa na marefu ya 32km au 64km hata zaidi ya 64km, kutegemea na upana wa eneo husika 2x32 or 1x64
  9. Wayaring

    Rais Samia analala nje ya Ikulu?

    Acha uboya, yaani Rais akae kumsubiri Mnyika?
  10. Wayaring

    Rais Samia mbona hakubali tatizo nini?

    Ni matokeo ya matatizo ya Jiwe,
  11. Wayaring

    Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    Issue ni kutaja hata kiwanda kimoja, ndiyo tutajua tatizo la Rungwe kama ni umri au upinzani wa hovyo! Kaeleza jambo rahisi sana kulithibitisha. Ila kuhusu kutembea na hotootv,a ubwabwa Ni sawa kabisa na Magu kutembea na wanamuziki wote wakati wa kampeni.
Back
Top Bottom