Mwanamke kuwa na tabia hizo zote kweli kutasaidia kupunguza nyumba ndogo kwa kiasi fulani! lakini kamwe haziwezi kuisha kwenye jamii inayotuzunguka kwa sb wanaume tunatofautiana sana kitabia!. Maana kuna mwingine yeye hata afanyiwe hayo yote habadiliki maana umalaya ni tabia yake siku zote mpaka...
kama wewe ni wa kiume nakushauri kama hujaoa usijaribu kuoa maana ndoa yako haitadumu hata kwa wiki moja labda uowe mwanamke mwenye tabia kama yako ndio mtaishi kwa raha, kwa sababu ukimwanika mambo yake na yeye kesho anayaaniaka ya kwako hapo inakuwa ngoma droo ndio mtaishi kwa raha mustarehee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.