Inaripotiwa kwamba katika mkutano na Jenerali Sultan Makenga wa M23, uamuzi ulifikiwa kwamba silaha zote za SADC zitarudishwa kwao, huku M23 ikibaki na silaha za FARDC na FDLR.
Miongoni mwa waliotia saini ni majemadali wa nchi zilizo shindwa, ambao majeshi yao yalishindwa vitani na M23 na...
Walikua wakienda Chooni, wanaomba permission had ya kununua gazi,
Check this baruwa wanutuma kwa M23 za kuomba apology
https://x.com/tredingrw/status/1894379563624308987?s=46
This is the trending video on Rwandan social media showing Tanzanian military officers at the Rwanda-DRC border office in Rubavu. They were repatriated from Goma after M23 seized control of the city. Reports indicate that M23 captured over 1,300 SADC troops, including soldiers from Tanzania...
Nenda ukatafutw hqbari, jeshi lipo goma peke ni 1300 kwa camp moja, ila hawa wana camp 3 ndani ya Muji goma, kwa hio unasema jeshi 5k hawapo? South African wametuma 2900, Tanzania na Malawi wakatuma 2100.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.