Itakuwa ni mchungaji wa UPANDE ule walioasi Imani ya bwana na Kutafuna Mali ya Kanisa.... Ninvyojua mimi KATIBU MKUU Wa Kanisa la Moravian Tanzania (KMT) ndio msemaji mkuu wa Kanisa.. Sijui haya mapandikizi mengine yanatoka wapi!
Mahojiano yalishafanyika last week kule Nairobi, Azam Tv walikuwa busy kuedit ili mazungumzo ya TLS yasimkasirishe Mtukufu...... Don't expect kusikia mambo mazito mazito maana yameshatolewa yote.
Watanzania wanahitaji elimu bora inayotolewa kwenye mazingira bora, wanahitaji huduma bora za afya zinazopatika kwa urahisi kwa wananchi wote! Hizo methali za Elimu bure iliyo mbovu nani anazitaka? wakati wa kudanganya watu uko ukingoni...unemployment rate inatosha kuwanyoosha vijana wachumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.