Recent content by wangshu

  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

    Ndio hapo sasa! it seems ushashindwa. Ushapigwa stoooop na wife wako.
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahisi mke wangu anachepuka

    Huyo mtarajiwa wako anapenda sana tamthilia na inaonyesha wewe unarudi wakati tamthlia inaendelea. Kwahiyo anao a kero kunyanyuka tamthlia itampita. Hiyo show yako ya 40+ minutes huenda kwake ni muda mrefu hivyo kufanya mara kwa mara hataki. Halafu! mbona unacharaza mtu mzima mwenzako namna...
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Sasa kama ndivyo! mbona kuna maandiko yanasema mwanaume azinie na mwanamke hana akili.
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Imagine! na ukishachukua nafasi ya ndoa kuna mwanaume mwingine atamgeuza tena mchepuko. Sasa hapo si bora akae na mkewe tu.
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Kupiga hata hakusaidii. Muhimu ni kuzungumza. HAMNA KITU NACHUKIA KAMA MWANAUME ANAEMPIGA MKEWE. HATA KOSA LIWE LIPI. JAMAA KAMPIGA NGUMI YA USO MKEWE. SASA ANGEMPOFUA! YEYE NAE NI MTOTO WA MTU.
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Namshangaa mleta mada. Yeye hana usafi wowote. Kakiri mwenyewe anachepuka vizuri sana. Mke kachepuka anaumia, anapata na ujasiri wa kumpiga ngumi za uso. Kisa cha kupiga mtoto ngumi za uso ni nini. Kwa usafi gani ulionao. Huo ni unafiki mkubwa hata Mungu anakushangaa. Yaani kwa sababu wewe ni...
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    Ila tafakari sana. Why imetokea hivyo. Maana kama sio chepuko lako limebugi saa hii na wewe ungekuwa somewhere. Nakushauri relax, omba Mungu, samehe, usichepuke tena.Kama na yeye kweli atakuwa kaenda chepuka ni kosa. Sameheaneni. Maisha yaendelee kama kawa.
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    Umejiandaaje? kama akirudi leo utafanya nini. Akirudi kesho utafanya nini.
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    Bado anatizama tamthilia. Ukute anaangalia marudio ya wiki nzima ati😆
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    Muage mchepuko wako kabisa. Mwambie kuchepuka basiii coz umechomwa na mkuki mzito
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

    Mimi nafikiri harudi leo. Lala tu mkuu. Fanya maombi ya toba kwa ajili yako na yake. Halafu wewe wacha kuchepuka. Ikimbie zinaa. Labda wewe ulianza chepuka na mrs analipiza maybe.
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

    Nikome!
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

    Nyie ndio wale mnafeligi mtihani. Soma uelewe ndugu sio kuanza ku attack. Mali kitu gani wewe. Mimi sina shida ya mali ninazo za kutosha aisee.
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

    Mimi sio Mchina ni jina tu. Kuhusu kuchonganishwa possibly inaweza ikatokea. Maana hata huko aliko anachongea. Naonaga anavyompigia simu na kumueleza mambo. Kama huko anafanya hivyo akija anaweza fanya the same au asifanye..i dont know! Ndiyo hivyooo najiandaa kuvumilia yajayo.
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Soon nakuwa mama wa kambo. Nahitaji maombi yenu na ushauri wa maisha haya mapya

    Roho mbaya huijui.
Back
Top Bottom